Hali imezidi kuwa tete kwa mwigizaji wa filamu nchini Elizaberth Michael 'Lulu' baada ya kupandishwa kuzimbani kwa mara nyingine tena huku akiwandani ya ulinzi mkali. Msanii huyo ameendelea kuvuta hisia za watu wengi kutokana na mwenendo wa kasi yake kuwa ya msisimko hasa kwa mtu mwenye umri mdogo kama yeye. Lulu anakabiliwa na shitaka la kusababisha kifo cha mwigizaji maarufu wa filamu nchini Steven Kanumba.
Lulu akiwa kwenye ulinzi mkali ndani ya mahakama ya Kisutu
Filamu ya mwisho ya marehemu Steven Kanumba, ambaye alipoimaliza ndipo akakutwa na umauti, baada ya kusadikiwa amejigonga kichwani na kusababisha damu kuvulia (Akiwa na Jack Wolper)