Wednesday, April 18, 2012

At aachana na misuli kwenye mduara

Mwanamuziki Aly Ramadhani amesema kuanzia sasa atakuwa akiimba nyimbo za mduara bila ya hata kuvaa msuri, ili kuleta mvutokwa wasanii wengine kuweza kuimba. Amesema huenda kuna watu wanashindwa kuimba nyimbo hizo kutokana na mvao wa kimavazi. Alisema kuanzia sasa yeye atakuwa akibadili jinsi ya kuvaa na kufanya wengine pia kuiga kupitia kwake na kuvaa tofauti na mwanzo