| Amini Mwinyimkuu kutoka nyumba ya Vipaji Tanzania THT, amesema video ya wimbo wake mpya ya Ni wewe, tayari imeshakamilika. Mwanamuziki huyo amesema picha ya video hiyo ndiyo zilizotumiwa na baadhi ya watu na kudai kwamba yeye ameoa kimya kimya. Kupitia video hii anajibu na kusema kwamba bado hajaoa, ila ni picha tu za wimbo wake wa Ni wewe. |
|