hallow
wadau...! wadau wote wa
bongo fleva napenda kuwatambulisha ujio mpya wa msanii wa kizazi kipya
anayeitwa ange tainer tokea kule mkoani iringa ameachia single yake mpya
na ya kwanza kabisa inayokwenda kwa jina la kivuli. nyimbo amerekodia mkoani iringa
kwenye studio ya ab chini ya producer kb.
wadau wote wa muziki tunaomba sapoti yenu kwa ushauri na maoni juu ya wimbo huu
na ikiwezekana sapoti ya kupata meneja ili asonge mbele kimuziki.
wimbo huu unaruhusiwa kupigwa sehemu yoyote bila ya kizuizi chochote na pia
kuwekwa taarifa zake kwenye websites na blogs yoyote ahsante.
song :
kivuli
artist : ange tainer
producer : kb
studio : ab record
by :- owen livigha
|