Tuesday, March 20, 2012

Wakati wengine wanapiga kelele ulevi noma

Wakati wengine wanapinga watoto wasitumwe sehemu ya kununulia pombe za aina yoyote,na wala kuwaagiza wakalete vinywaji lakinipia wapo watu ambao wanahitaji watoto wao wawe walevi au watumiaji wa pombe kali kama ilivyokuwa kwao. Hii ni moja ya picha ya mshindi wa wa Big Brother Africa II mwaka 2007 Richard Bezuidenhout, akikata kinywaji mbele ya mwanaye. Inasemekana ni tabia  ya watu wengi maarufu wakiwemo  wasanii maarufu wa filamu na muziki hapanchini.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi