Saturday, March 24, 2012

Ant Virus sasa wapanga kurudisha majibu kwa Kusaga

baada ya wasanii wawili wa Anti Virus Mapacha, kushitakiwa na Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga na baadaye Kusaga mwenyewe kuamua kufuta mashitaka hayo, wasanii hao wamepanga kumfungulia mashitaka yakupotezewa muda kwaajili ya kuudhulia mahakamani.



Mkoloni mmoja wa wasanii wa kundi la Anti Virus

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi