Monday, March 19, 2012

Ujumbe wa Zola D kwa mafans wake ni huu; yap!!  fans wangu wa ulaya mpo tayari kwa show ya zola d na mb dog??? wanamziki wengi wamefanya show ulaya ila sisi tunakuja kuwashika show ya kwanza itakuwa stuttgart germany tega sikio hapa mb dog hapa zola najua mmezimiss show za hip hop swahili, kutoka east africa naja kuwakata kiu yenu oi oi mzuka sana watu wangu. 

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi