Sunday, March 11, 2012

CUF wampokea Lipumba kwa mtindu huu

Wanachamawa chama cha CUF, leo walikutana kwa pamoja kutoka sehemu mbalimbali kwaajili ya kumpokea kiongozi wa chama hicho Ibrahim Lipumba ambaye alikuwa akiingialeo kutokea Marekani. Zaidi ya zaidi staili yao ambayo waliitumiakwenda safari hiyo ndiyo hiii ...

Wengine juu ya mafuso, wengine kwenye mapikipiki, wengine kwa miguu ilimradi watu wafike.