Monday, February 27, 2012

Suresh producer anayetoka kivingine

Suresh ni producer ambaye amekuwa akiangalia zaidi mziki unakwendaje, na ndiye tegemezi kubwa katika kundi la Mkubwa na wanaye chini ya Mkubwa Fella akatika studio ya Poteza Record. Suresh baada ya kuona ujuzi wa dogo Aslay na kumgongea biti ya ajabu ambayo ilifanikisha kumweka dogo huyo juu, sasa hivi tayari ameshaachia nyimbo ya bibi Cheka, jambo ambalo linaonyesha anauwezo wa kukabiliana na wasanii tofauti. Syreshi anasema lengo lake kuja kuleta mapinduzi ya muziki, katika anga zote na ndiyo maana anaweza kumgongea Biti hata 'Bubu' na kuimba.
Sureshi wa pili kutoka kulia akiwa na Mkubwa Fella 'Aliyeshika siku'