-Jamani
nakumbuka mwaka 98 au 99 nilimuandikia wimbo Florence Kassela maarufu
kama DATAZ na nikashirikiana nae pia kuuimba huo wimbo na tuliurekodi
kwa Enrico pale Soundcrafters na aliyelipa gharama za studio alikuwa ni
Taji Liundi wimbo uliitwa SIKUTAKI TENA....Kuna ufisadi umefanyika wimbo
umewekwa kwenye movie ya Wamarekani inaitwa SOMETIMES IN APRIL
ikizungumzia mauaji ya Rwanda sasa mpaka leo huwa najiuliza ni nani
aliuza huo wimbo na kwanini hatukupewa hata sumni...I HATE THIS COUNTRY
|