Wednesday, February 29, 2012

Dar Live yamleta Sugu Live

Baada ya wakubwa wawili waliokuwa wakibeba tifu tifu la mwaka kati ya Mbunge Sugu na Bosi Luge, na hatmaye hayawi hayawi sasa yamekuwa mkataba ukasainiwa, maridhiano yakapitishwa viapo vikawekwa, ujumbe ukafika nasi tumeupokea kwa mtazamo tofauti, sasa wengi wamekuwa wakijiuliza swali. Sugu karudi tena kwenye game, maana mara ya kwanza alijitoa na kurudi kwake zilikuwa ni harakati za kuscan Virus..... Je amerudi rasmi kwenye muziki? Hebu tumuangalie DAR LIVE