| Allan Lucky anayejiita Rais wa wanafunzi, kutokana na kipindi chake cha Skooooonga!! Hivi karibuni ameamua kuvuta jiko, kwa kupiga magoti na kuchukua radhi za wazazi, na hatmaye kuitwa bibi na bwana huku mpande na msimamizi wa harusi hiyo akiwa Vocalist Banana Zoro...Hongera mzazi, Mungu akujalie nasi tufuate nyayo zako. |