Mkurugenzi wa Mafunzo na Usimamizi wa Mikoa wa Shirika la Kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) , Stephen Bondo amesema shirika hilo linafungua milango kwa wadau wengine wa kilimo cha nyuki kwaajili ya kuwekeza na kufanya biiashara hiyo.
Alisema hayo
katika Kikao kazi wa wadau katika sekta
ya kuongeza thamani zao la asali , ambapo kilishiriki viongozi mbalimbali na
wadau kutoka Tbs, TFS na Tantrade .
Lakini pia
kulikuwa na wafugaji wa nyuki na wasindikaji wa asali mmoja mmoja kwaajili ya
pammoja kujadili jinsi ya kuweza kutatua changamoto hizo.
Alisema
kushirikiana na taasisi hiozo pamoja na wadau kwakuwa kuna mambo ya Kisela na
kisheria ambazo lazima wajadiliane kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi