"KAZI IENDELEE" Mama Samia kasema. hii hapa sehemu ya nne, usisahau kumuangalia Chozi na kasheshe za kulazimisha ndoa. Wakati Raya Kikwa anaendelea kupinga kila mpango wa baba yake, japo kwa usalama wake. Razaki anaamini kwake mahusiano lazima kuwe na mapenzi. Kundi la wahuni linalalamika kwamba Razaki anawainglia kwenye kazi zao za uuzaji Bangi ndani ya Mabibo Mabwawa Saba. Mjumbe nae katika harakati za kuwafuata wananchi mtaani kwao, ingawa wananchi wameshamchoka kwa Umbea... INGIA yOUTUBE KUPATA UTAMU WOTE HUU.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi