Tuesday, March 16, 2021

Mabibo Mabwawa 7 EP 2 (Swahili; Subtitle ENGLISH)

SEHEMU YA PILI; Mabibo mabwawa 7. Leo njoo umuone Chozi anavyolazimisha kuolewa. Mjumbe badala ya kuamua ndoa ya mtu, yeye anamwambia mwenye mume aondoke yeye wajadiliane na mkewe wakati hana mke mwanaka wa kumi. Penzi la Raya na Razaki linazidi kwenda kiselasela siku haishi mazima bila vurugu. Waziri na mishe mishe za mafisadi...... KILA JUMA TATU HUMU HUMU youtube.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi