Thursday, May 7, 2020

Mabibo Mabwawa 7 S1 ep1 (a)






This is the first Episode of your local drama Mabibo Mabwawa 7 (MM7) that is coming with a big change in the country. This drama will be broadcast in one of the TV stations in the country, we are in the final stages of the discussion. We've stepped up here to try to keep our online stakeholders close, so they know we're together. Don't forget to subscribe to our web site to find out what's going on. Give your opinion, thank you.

 (Hii ni sehemu ya Kwanza ya tamthilia yako ya mtaani ya Mabibo Mabwawa 7 (MM7) ambayo inakuja na mabadiliko makubwa hapa nchini. Tamthilia hii itarushwa katika moja ya kituo cha luninga hapa nchini, tupo katika hatua za mwisho za maongezi. Tumepandisha humu ili kujaribu kuwaweka karibu wadau wetu wa mtandaoni, ili wajue tupo pamoja. Usisahau
  ku Subscribe kwenye mtandao wetu ili kujua nini zaidi kinaendelea. Toa maoni yako, hasante.)

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi