Sunday, October 20, 2019

Raya na Razack watembelea Mabibo Mbwawa 7

 Mastaa maarufu wa tamthilia ya Mabibo Mbawawa 7 (MM7) Raya ambaye amecheza kama mtoto wa waziri wa Mambo ya ndani akiwa na mpenzi wake Razack ambaye ni muhuni wa Mabibo, wakiwa kwenye moja ya eneo la Mabibo yenye Mbwawa 7 na kutambulika kama eneo la Mabwawa 7.

Mapenzi yao yakiwa bado moto moto
(Raya na Razack, wakiwa na picha ya pamoja katika mapenzi yao)

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi