Sunday, October 20, 2019

Fox amteka K Milionea

 Katika Moja ya Scene ambayo imekuwa kivutio kikubwa katika Tamthilia ya Mabibo Mbwawa 7 (MM7) inayoandaliwa na kampuni ya Gomesa Entertaiment, ni ile Scene  ambayo K Milionea alitekwa na Fox na kulazimishwa ataje Raya na Razack wapo wapi.

 Anachoshangaa K Milionea kwamba Raya amekufa kwenye maji na Razack amechomwa moto, lakini Fox anamuuliza juu ya watu hao na hapo ndipo picha linapoanza.
 
Wasanii wa Mabibo Mbawawa 7 (MM7) wakiwa katika picha ya Pamoja, chini ya Gomesa Entertaiment.
Babuu akifuatilia Script wakati wa utengenezaji wa Tamthilia ya Mabibo Mbwawa 7 chini ya Gomesa Entertaiment.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi