Sunday, September 15, 2019

Wazee wa Mabibo wa Mabwawa 7

 Wasanii wa Mabibo Mbwawa 7, wakiwa kwenye maandalizi kwaajili ya kuanza kufanya moja ya kipande cha tamthilia ya Mabibo Mabwawa 7 inayoandaliwa na kampuni ya Gomesa Entertaiment, ambayo inakuja kufanya maajabu makubwa katika soko la filamu Tanzania.


 Moja ya siri ya tamthilia hii itachezwa eneo la Mabibo ndani ya uswahili kabisa, na hawa ni moja ya wazee ambao wanafanya vizuri, kuanzia kulia ni mzee maarufu Mabibo ni Mzee Kimindu, anayefuata Baba Esta, Mama Ester na Albert Kirango, waliosimama kulia ni Yohana Kikwa na Raya Juma. Mabibo ni moja tu



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi