Mwandishi mashuhuri kutoka katika Gazeti la Shine Times Afrika, alijaribu kuchunguza stori juu ya mauaji ambayo yanendelea kutokea katika eneo la Mabibo.
Anakutana na siri nzito kutoka kwa watu ambao mwanzo aliwachukulia kama mzaha, hajui hasa ni nani muuaji wa kweli wa mtoto wa waziri wa Mambo ya Ndani na nani hasa sababu ya machafuko ndani ya Mabibo.
Mwandiji Rajabu Msafiri, anashangazwa zaidi na kujiuliza juu ya fikra zake kwamba inawezekana mauaji yamepangwa na Waziri mwenyewe kumuua mtoto wake kupitia kwa mlinzi wake wa karibu, Au Black Mamy ndiyo anayemuua kwa kutaka akuleta machafuko kwa kutumia Lau Mzimu, labda ni wale watu wasiofahamika wanajulikana kama FOX na DARK MAN ambao hana habari zao. zaidi, nani aliyeua? Majibu yote ndani ya Mabibo Mabwawa 7. Tamthilia inayokujia hivi punde chini ya
Gomesa Entertaiment.
Waziri wa Mambo ya Ndani Yohana Kikwa
Mlinzi wa karibu wa waziri Japhet Muhando
Fox mtu asiyekuwa na alama ya wowote.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi