Mjumbe mzee Edward, akichungulia akisikiliza umbea katika kikundi cha wakina dada. Lengo lilikuwa kusambaza umbea kila eneo ili watu wake wapambane.
Mjumbe Mzee Edward anaamini kwamba watu wanavyogombana zaidi ndipo anapata sifa, kwakuwa yeye yupo kwaajili ya kutatua migogoro, hivyo kama hakutakuwa na migogoro yeye atakuwa anafanya kazi gani,. Hii yote ndani ya Tamthilia yako ya Mabibo Mbawawa 7, ambayo inachezwa na wakazi wa Mabibo.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi