Friday, December 14, 2018

Badist anapoongoza wahuni ndani ya Mabibo


 

Badist ni kiongozi la kundi la wahuni la Machawa Camp lililoweka kambi zake maeneo ya Mabibo. Ameamua kujikita katika kufundisha vijana wadogo kutumia siraha za jadi, katika kuumiza watu ili wajipatie fedha na kumletea yeye.
Lakini mambo yanakuja yanachafuka yanapoibuka makundi mengine ambayo yanachukizwa na tabia hiyo.

Mambo yanazidi kuwa vita juu ya vita, kwakuwa hata vijana nao wanaamini hayo ndo maisha yao na hawana maisha mengine zaidi ya hayo, kwakuwa wanabaka na kufanya kila kitendo kwa kutumia jina lao. Hiii yote ndani ya Tamthiliya mpya ya Mabibo Mbwawa 7


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi