Wednesday, August 8, 2018

majuto afariki dunia

Mwigizaji wa filamu nchini Amri Athumani maarufu kama King Majuto ameaga duniani Leo katika hospital ya Taifa Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi