Mkali kutoka katika kundi la Tip Top Connection lenye makazi yake Kagera, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu
aitwae Sabrah.
Mwanamuziki huyo aliamua kufunga ndoa hiyo siku ya Ijumaa kwa kumfuata mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah.
Miongoni mwa wasanii ambao waliudhuria katika harusi hiyo ni member ambao wanaunda kundi hilo, na wale ambao walikuwepo ambao kwa sasa hayupo ambaye ni Kassim Mganga
Wasanii wengine walikuwepo ni Dogo Janja, Madee na wengi.
Tunda Man akiwa na mkewe Bi Sabrah.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi