Mbunge wa Mikumi Joseph Haule 'Prof Jay' anatarajia kuanzisha ligi ndogo wa mpira katika jimbo lake ambalo litaitwa Prof Jay Cup.
Na hivi ndivyo alivyoandika kupitia
Na hivi ndivyo alivyoandika kupitia
Tumemaliza kikao kingine cha dharura na wakazi wote wa
jimbo la MIKUMI wajiandae na Profesa Jay Cup 2016 Mwisho wa mwezi huu. Semeni
ndiyo mzee

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi