Mwanamitindo mwenye mvuto wa aina yake Hamisa Mobeto alijikuta anawachanganya watatu ambao walishiriki katika utengenezaji wa video ya Salome, akiwemo Diamond Platnumz wanamuziki wake katika lebo ya WCB hapa ninamaana Rich Mavoko na Rayvann.
Diamond mwenyewe aliandika kupitia kurasa yake ya Instagram, kwamba mwanadada huyo ndiye aliyetengeneza na kubuni vizi jekundu, ambalo lilikuja kumtoa mate baada ya mwenye vazi hilo kuchelewa na kudondoka katika mikono ya Rayvanny baadaye akatia fitina ili apewe yeye.

·
Hahahaha wadau hii nguo Nyekundu niliovaa kwenye Shot nilokaa kwenye
kiti na @hamisamobetto mmiliki halali aloshonewa vazi
hilo alikuwa @richmavoko lakini kwakuwa kwenye fiting
alichelewa, akakataka kupita nayo @rayvanny ....mnh nami pia nlivyoiona nikaitolea
Macho, ikabidi nimrubuni @rayvanny anipe.... sasa mpaka kuitoa haikuwa
rahisi😞..... Full video ya behind the scene ipo Youtube nenda
katazame

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi