Haji Adam aanza kutafuta vipaji
Marafiki wale mliohitaji kuigiza nami, wakati ndio huu umefika.
Nini chakufanya?!!! jichukue video clip ndogo tu ambacho utaigiza kitu chochote tu yaani igiza onyesha uwezo wako na hakikisha nakuelewa tamka maneno kiufasaha onyesha hisia kiufasaha halafu nirushie iyo video clip kupitia whatsApp kwa number hii +989356423433
Nitachukua wale waliofanya vizuri na tutaigiza na hakuna gharama zozote wewe uliepita eti uta lipia na hakuna ubabaishaji
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi