Mchekeshaji aliyejipatia umaarufu mkubwa kwenye shindano la Big Brother Idris Sultan amemtakia siku ya kuzaliwa mwanamuzik Diamond Platnumz kwa mtindo wa kipekee kwa kumtania kumtania utani ambao unafanana na ukweli.
3,413 likes
Sihitaji kujua madem uliokua unatoka nao kipindi unavaa hiyo kofia ya Tx moshi na shati lako la ukweli la mistari mistari ulinunua baada ya kupafomu kama bar 16 za kinondoni ukiimbia widhi yu ya Krisi brauni na kiingereza ulichokipata kwenye "Days of our lives" na "It might be you" na mwamvuli wako ulioshinda baada ya kukatika vizuri kwenye gari la promoshen la Coca.
.
Wanasema surround yourself with those who are positive and work hard on the same road with you & thats you man 🙌🏽. I love you brother Nimemaliza hapa unanidai zawadi nyingi balaa hasa hasa kama Ankal Tiffa 🙈🙈
.
Happy birthday brother @diamondplatnumz me and you are just getting started sasa basi bye Me am biziiii


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi