MWIGIZAJI wa
filamu nchini Omary Clayton amewataka Watanzania kuweza kujitokeza katika kumpigia
kura mitandaoni ili kumuwezesha kushinda msanii bora katika tuzo za Califonia
Viewers Choice kupitia filamu ya Dogo Masai.
Clayton
alisema katika tuzo hizo ambazo zinafanyika nchini, Marekani anawania pamoja na
wasanii wengine kutoka katika mataifa makubwa, lakini tumaini lake limebakikwa
Watanzania.
Aliwataja
wanaowania pamoja katika nafasi ya msanii bora, yupo Erick Calderon filamu Insomnia kutoka Costa Rica , Daria Merlin
filamu 9 Waves kutoka Spain, Seppe Cosyns filamu ya Fear kutoka Belgium Veron aldershoff filamu Justice is mind kutoka
Marekani.
Aliwataka
wasanii na kila mtu ambaye anapambana kwaajili yakulitakia taifa heshima,
kuweza kumuunga mkono na kumpigia kura.
ingia hatakumpigia kura.... http://covcawards.wix.com/covcawards#!dogo-masai-feature-film/xjvq3


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi