Friday, October 2, 2015

Nisha aonge makubwa

nishabebee
Ni mm pekee nnayejua ananipa nn,vyvyte alivyo tushapendana 
Mdg nambemenda hayakuhusu,mi na yeye tumeridhiana,

Na huo udogo anavaa pampers au mdg mbona haina break?KAWASHINDA HADI WATU WAZIMA 😏

Wakubwa siwataki maana wana stress.. kiboko yangu wng peke yng upo?? sa we endelea kupiga maneno si tunazidi kupendana 
NA MTUACHE TUBEMENDANEEEE
#KIBOKOKABISAAAAA

Nisha ameamua kuwafungukia wale wanaodai kwamba anachukua Serengeti boy, sitaki kutia chunvi kati ya yale aliyoongea hebu soma mwenyewe.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi