Jb, Wema Sepetu wakutana tena kwenye Chungu Kimoja
CHUNGU CHA TATU ni filamu mpya ambayo inatarajia kuja katika mwezi huu, ikiandaliwa na kampuni ya Jerusalem chini ya mkurugenzi wake Jacob Steven 'JB', ambaye ameshirikiana na wakali wengine kama Wema Sepetu, Patcho Mwamba, Bi Hindu, Mau Fundi, Chuma Seleman.unaikosaje wakati ipo chini ya Steps Entertaiment... pia unaweza kuendelea kuulizia mzigo mapema kwa namba hii 0713 570 581 au piga 0716 788805.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi