Katika wanamuziki wachache waliobaki katika muziki wa Hip Hop wa kigumu ni Getruda 'Ge2' ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Tofauti, akiwa na Kingo Master, Young K na Barnaba. amesema ataendelea kufanya nyimbo ngumu, ingawa katika soko ni gumu.
Alisema ingawa kwa sasa amefanya wimbo ambao kwa kiasi ameregeza, lakini anatarajia kufanya kazi nzuri zaidi.
Alisema ingawa kwa sasa amefanya wimbo ambao kwa kiasi ameregeza, lakini anatarajia kufanya kazi nzuri zaidi.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi