Saturday, September 5, 2015

Mtu mfupi zaidi duniani afariki



Mtu mfupi zaidi Duniani Chandra Bahadur Dangi aliyeweka rekodi katika kitabu cha watu maarufu waliofanya vitu tofauti au vikubwa duniani  Guinness World Record amefariki alhamisi jioni  akiwa na miaka 75.

Dangi, lifariki katika hospitali ya Johnson Tropical Medical Center katika mji wa  Pago Pago,, kwa ugonjwa ambao hadi sasa haujafahamika

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi