Thursday, September 3, 2015

Mr Blue apata mtoto wa pili wa kike@ Khairriyyaaa

HONGERA mr Blue kwa kuongeza mtoto wa pili.
 Mrbluebyser1988;  Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana ..hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu
@wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri...nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa# khairriyaaa.....ahsante mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni...

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi