Monday, September 14, 2015

China yarusha Satelaiti nyingine.

Wakati nchini zikingine zikiendelea kulumbana masuala ya barabara na maisha bora, nchini China ijumaa iliyopita wamerusha kimya kimya satelaiti yao ya  Gaofen-9 yenye kiwango cha juu maarufu kama HD.


Roketi hiyo ilirushwa  saa 12;42  kwa masaa ya Beijing baadaya kutolewa tahadhari sa 04;42 na mamlaka ya anga ya  UTC huku uzinduzi huo ukisibitishwa kwamba umefanikiwa na  serikali ya nchi hiyo kupitia kamera za  CCTV

Gaofen-9 ni ya nne kuzinduliwa kutoka katika Satelaiti nane au tisa zilizotengeneza katika maazimio ya nchi hiyo ya kitengo cha  China cha uchunguzi  masuala ya Anga  (CHEOS).

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi