Wednesday, September 23, 2015

Baada ya kuamia CCM, Ray akabidhiwa Kitengo.

Baada ya kuhamia chama cha Mapinduzi, wasanii Aunty Ezekiel na Vicent Kigosi wamepewa kitengo maalum kwaajili kurusha madongo upande pinzani ambapo mwanzo walikuwepo wao na kuvaa magwanda ya chama hicho.

Katika kitengo hicho kipya, ambacho kinatambulika zaidi kwa jina la Nimes'tuka, kinachoongozwa na Ray, Aunty na Kajala, pia wapo wasanii wengine wakubwa, akiwemo Juma Nature na Idrisa Makupa ambao walikuwa mstari wa mbele katika uzinduzi wa UKAWA.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi