jenniferkyaka@Regrann - Wapendwa
wangu leo Agost 28 jioni tutakuwa tuna Dinner Gala itakayofanyika kwenye Hotel ya
Hyatt Kilimanjaro Kempinsky Hotel kwanzia saa 12.30
jioni... Dinner Gala hii
itakuwa ni kwa ajili ya Ku launch rasmi Campaign yetu ambayo inafanyika na
wasanii mbali mbali wakiwemo wanamuziki na waigizaji iitwayo
"Mama Ongea
na Mwanao"... Watakaopata kadi hii basi wanakaribishwa kujumuika nasi...
Mgeni wetu Rasmi atakuwa Mh. Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mama Shein, Mama Asha Bilal, Mama Tunu
Pinda, Mama Samia Suluhu, Mama Janet Magufuli, Mama Asha Rose Migiro na Mama
Zakia Meghji... Mualiko huu utakuwa ni kwa watu maalum tu watakaopata card
hii.... Asanteni sana.... #MamaOngeaNaMwanao2015#KidumuChamaChaMapinduzi #Regrann
a

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi