Sunday, June 28, 2015

Filamu Mpya ya Lulu Kuzinduliwa Septemba, Mwaka Huu
Filamu mpya ya Staa wa Bongo Movie,Elizabeth Michael ‘Lulu’ inatarajiwa kuzinduliwa mwezi Septemba mwaka huu. Filamu hiyo iliyotumia gharama kubwa itazinduliwa mara tatu ikipendezeshwa na ‘Red Carpet’ kwenye sinema,kwa waandishi wa habari na kwa mashabiki wa msanii huyo

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi