Tuesday, January 21, 2014

Jet Lee asema amegundua silaha aliyoikosa miaka 20.

 
Mwigizaji filamu kutoka China Jet Lee, ameamua k7uvunja ukimtya kwa kusema takribani miaka
ishirini na zaidi alikuwa hajui kama Kutabasamu ndiyo silaa kubwa na yenye nguvu katika kudumisha upendo kwa watu. Pia akasema yeye yupo tofauti sana juu ya kushirikiana na kuwa karibu na wanawake, yaani kwa maana huwa na mchecheto sana anapokuwa na mwanamke karibu.
 

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi