Mwigizaji wa filamu nchini Yusufu Mlela, amesema kwa sasa anachoangalia zaidi ni kazi zake za filamu lakini hana mpango na kuwa na bifu na mtu yoyote.
Alisema taarifa ambazo zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao kwamba bifu lake na msanii mwenzake Hemed Seleman, si la ukweli kwakuwa bifu kwao wanalichulia kama vile mchezo wa kitoto uliopitwa na wakati.
Wasanii hao wanasadikiwa kwamba bifu lao liliibuka upya baada ya kukutana katika filamu ya Iknow You.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi