Nyota wa muziki wa kizazi kipya ambaye kwa sasa anafanya vizuri, Diamond Plutnam amesema haya kuwaambia mashabiki wake wote waliofika katika tamasha hilo, siku ya X- msaa,
sitoacha kuwashukuru watoto mliojitokeza pia
Napenda nimshukuru Mungu kwa,kuwezesha tamasha hili
liende vyema na salama,
liende vyema na salama,
sitoacha kuwashukuru watoto mliojitokeza pia
na wazazi mlioruhusu watoto wenu kuja kwenye
onyesho..nina mengi ya kunena kuonyesha
shukrani zangu..ila nasema neno moja tu
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi