Wednesday, December 4, 2013

NEW SONG @ Hussein Machozi feat Sauti Soul- Utaipenda





Mwanamuziki wa Tanzania ambaye kwa sasa anafanya kazi zake nyingi nchini Kenya, amevunja ukimya kwa kutoa wimbo wake mpya akiwa na kundi la Sauti Soul, unaokwenda kwa jina la Utaipenda.

Hebu angali hapa
 

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi