Baada ya uhusiano wake kusua sua na
kampuni ya Nike, mwanamuziki nyota Kanye West, ameamua kukata mzizi wa fitina
kwa kusaini mkataba mpya na kampuni ya Adidas.
Kanye ambaye kwa sasa anafanya
vizuri kupitia wimbo wake wa ‘Heartless’,amesema
ameamua kufanya mkataba na kampuni hiyo ya German Sports Clothing.
“Nimekubali kuwa na Adidas kwakuwa
mimi nauzika na familia yangu pia imekubali kuwa nao” alijigamba.
Kuhusu mavazi ya kampuni hayo mpya,
alisema kwamba kwakuwa amekuwa mwanamuziki wa kwanza wa muziki wa Hip hop
ambaye ni mbunifu, basi ataendelea kuwa mbunifu mkubwa zaidi ya Wal Mart.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi