MWIGIZAJI mkongwe wa tasnia ya maigizo nchini, Mohamedi
Fungafunga ‘Jengua’, amesema ameshakamilisha filamu mbili kutoka klatika kundi
lake jipya la Makalama Entertaiment.
Jengua alisema filamu ambazo tayari ameshazifanya kupitia
kundi hilo ni Neno la Mzazi na Mafao ya uzeeni ambazo zote zimekamilika.
Alisema kwa
sasa amejipanga kufanya filamu nyingi na maigizo kupitia kundi hilo jipya ili
watu wajue kama amerudi upya.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi