Mchekeshaji King Majuto, anatarajia kuvunja mbavu katika filamu mpya ambayo atakutana na Haji Adam, na Riyama Ally. Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la Chozi, hivi sasa imeshakmilika na ipo mwishoni kuingia mtamboni kwaajili ya kufanyiwa maujanja, na makeke kwaajili ya kuingia sokoni.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi