Wazili wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki
Baada ya Bunge kuchachamaa na kuhitaji Mawazili ambao wizala zao zilihusika katika uvunjaji wa haki za binaadam katika Operesheni iliyofanywa na jeshi la Tokomeza Ujangiri, kujiuzuri tayari hadi sasa mawazili hao washajiuzuru na wengine kuvuliwa madalaka yao ili kuokoa jahazi hilo.
Hawa ndio miongoni mwa Mawazili ambao wizala zao zilihusika katika uzembe huo, na kupelekea baadhi ya watu kubakwa, mifugo kuuwawa, watu kufariki, na wengine kutiwa ulemavu wa maisha.

Wazili wa mambo ya Ndani, Emmanuel Mchimbi
Wazili wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahonda
Wazili wa mifugo wa Uvuvi, Dkt Mathayo David
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi