Show ni Utambulisho Rasmi wa Single yake Mpya na Video ya Single
yake Mpya Iitwayo LISTEN, Baada ya mda mref kutopanda kwenye Stej ya
Club Bilicanas, Amepania kufanya kweli kwa kujiandaa kwa mazoezi ya
nguvu ili kufurahisha m,ashabiki wake huku akisindikizwa na wasanii
wakali wanaotikisa jiji wa miondoko ya hip hop na rnb ambao ni Ben
Pol,Amiry Milly wa Rnb na Nikki Mbishi,Young Kila mkali wa Serengeti
fiesta super nyota,Mkali wa Sinza Star Mansulii,Kala Jeremiah na Nash Mc
wakali wa Hip Hip.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi