NYOTA mwenye
makeke katika uigizaji na mmiliki wa kampuni ya CIPK movies, Adam Kuambiana
amesema atakuwa radhi kukukosolewa katika filamu yake ya Broken Family ambayo
alikaa nayo kichwani tangu mwaka 1996.
Adam alisema aliitunza stori hiyo kutokana na kuwa na stori ya kweli kabisa,
jambo ambalo lilimfanya aione kama arimasi kwake.
Adam anasema
miaka mitatu iliyopita ndipo alipoanza rasmi kuandika na kuja kuigiza hivi
karibu, lengo kubwa kutaka iwe ya kimataifa
ndiyo maana anaruhusu kukosolewa.
"Nitakuwa
nipo tayari hata kurudi tena kuigiza kutokana na kuhitaji ushauri zaidi kwa
wale watakayoiona awali kabla ya kuingia sokoni" alisema.
filamu hiyo ilifanyiwa uzinduzi jana usiku, huku ikiudhuliwa na wadau mbalimbali ikiwemo wasanii wenzake na wanamuziki
Adam akiwa na Shilole
Banana Zorro akiwa miongoni mwa waigizaji wa filamu hiyo.
Stara Thomasi akiwa na Adam Kuambiana katika filam ya Broken Family
Hizi ni picha ambazo zilikuwa zikifanyiwa uzinduzi wa filamu hiyo, hapa Cloud 112, akiwa katika hali ya umakini.
Shamsa Ford, akiwa kwenye pozi
Single Mtambalika akiwa kwenye pozi






No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi