knock
out imetoka sasa kimenuka kitaa pia nipo kwenye mandalizi ya kufanya
rmx ya ngoma ya whats going on,utawasikia artist mbali mbali wa hip hop
kutoka kenya,uganda,na tanzania wale wanaotikisa east africa wakipita
kwenye hiyo ngoma na bonge la kideo kama kawaida yetu mimi na kaka yangu
Benjamin wa Mambo Jambo,huku tukiwaombea dua ndugu zetu wa Kenya MUNGU
awasimamie Uchaguzi na ufanyike kwa Amani na Upendo God Bless Africa,
staying tune! jiwe baada ya jiwe wanaobana wabane tu mimi kamanda bhana
nipo real mziki wangu utakuwa tu slow slow muimu na nyie artist mliopo
chini ni kukaza tu kufanya mapini makali artist wote wamepitia misoto na
masimango kitaeleweka inshallah hip hop whats z up ,ndaga fijo.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi