Maandalizi ya msiba wa wa mwigizaji nyota wa filamu bado yanaendelea ambapo keshomsanii huyo anatarajiwa kwenda kuhifadhiwa kwenye makazi yake ya kudum. Hata hivyo viongozi mbalimbali wa kisiasa walikuja kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki ambao amepatwa na msiba huo,huku baadhi yao wakitoa mchangokwaajili ya kuweza kufanikisha mazishi ya Sajuki. Miongoni mwa watu ambao walifika msibani hapo ni Ruge Mutahaba ambaye yeye alitoa shilingi laki 5, na Mh January Makamba ambaye alitoa Milioni Moja, huku viongozi wengine ndiyo walikuwa wakiingia na kuonana na daftari za rambirambi.
Wasanii kutoka Born Again wakiongea kitu
Turubai likifungwa kwajili ya watu kutulia
Steve Nyerere na Thea Tyson
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi